Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto
Kabwe akiongoza kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi
ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hesabu za
mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC)
baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
Mjumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Ismail Rage
ambaye ni Mbunge wa Tabora mjini akichangia mada wakati wa kamati hiyo
siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es
Salaam, kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa
Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Serikali (CAG).
Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)
wakichangia mada wakati wa Kamati ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha
wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti
ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). kamati iliyofanyika siku
ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es
Salaam,
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Bw.
Justine Mwandu akichangia mada kuhusu kujadili hesabu za mwaka wa fedha
wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti
ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) Dkt. Edmund
Mndolwa (kushoto) akijibu maswali toka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya
Hesabu za Serikali kwa lengo la kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31
Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
Wabunge na wadau wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakimsikiliza
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali wakati wa kujadili hesabu za
mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC)
baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). Kamati
hiyo ilifanyika siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika ofisi ndogo ya
Bunge jijini Dar es Salaam,

Bunge jijini Dar es Salaam
Post a Comment