Wanafunzi wa chuo kikuu cha Zimbabwe hawaruhisiwi kupigana mabusu. Hiyo ni moja ya sheria kali kwenye chuo hicho.
Uongozi wa chuo hicho umedai kuwa wanafunzi watakaokutwa kwenye pozi la kimahaba watachukuliwa hatua za kinidhamu.
“Katika umri huu kusema siruhusiwi kumbusu au kumkumbatia mtu.. haiingii akilini,” mwakilishi wa wanafunzi wa chuo hicho, Tsitsi Mazikana aliiambia BBC.
Post a Comment