Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
WATANZANIA
leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na
Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mwalimu
Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini Uingereza
alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu.
Akizindua
rasmi maadhimisho ya kumbukumbu hizo jana, Mbunge wa Bunge la Afrika
Mashariki, Kate Kamba alisema kitaifa maadhimisho hayo yatafanyika
mkoani Tabora.
Post a Comment