Kiongozi
wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio
za mwenge ulius na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere
zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani
Tabora leo.Kulia ni Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na michezo
Dkt.Fenela Mkangara.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenge wa Uhuru wakati wa maadhimisho
ya kilele cha mbio za mwenge ziizofanyika mkoani Tabora leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa
mbio za mwenge mwaka huu wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio hizo
zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora
leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio
za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan
Mwinyi mjini Tabora leo(picha na Freddy Maro)
Post a Comment