Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LORI LINGINE LA MAFUTA LAANGUKA, LATEKETEA KWA MOTO DAR




Mashuhuda wakieleza yaliyotokea.
Wafanyakazi kampuni inayomiliki lori hilo ambayo bado haijafahamika, wakifanya tathmini ya hasara iliyopatikana.
Sehemu ya matairi ilivyobaki.
Sehemu ya juu ilivyoungua.
Maofisa wa polisi wakijadiliana la  kufanya.
…Wakielekea eneo la tukio baada ya kufikia muafaka.Askari wakilinda usalama eneo la ajali.Afisa wa polisi akimpa maelekezo askari wa usalama barabarani.
Mashuhuda kila mmoja akieleza lake.
Madereva wa bodaboda wakiwa wameacha shughuli zao ili kushuhudia tukio hilo.
LORI la mafuta aina ya Scania likiwa limesheheni dizeli likitokea bandarini jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani, liligonga tuta katika Barabara ya Morogoro, eneo la Kimara-Baruti,  likapoteza mwelekeo na kupinduka kisha kuwaka moto na kuteketea kabisa.
Wakati lori hilo likiwaka, mafuta yenye moto yalisambaa na kutaka kuunguza nyumba za jirani lakini Kikosi cha Uokoaji na Zima Moto cha Halmashauri ya Jiji, kiliwahi kufika eneo la tukio na kuudhibiti moto huo. 
Tukio hilo limesababisha usumbufu mkubwa kwa magari yanayotumia njia hiyo kutokana na sehemu hiyo kupitika kwa shida.

(HABARI/PICHA : RICHARD BUKOS / GPL )   
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top