Katibu
wa NEC, Irikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa
CCM (Bara), Mzee Mangula baada ya kuhutubia katika kongamano hilo.
Kulia ni Katibu Mtendaji Mkuu wa CCM mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher
Ngubiagai
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia katika
Kongangamano hilo la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Nape amewataka
wasomi kutofumbia macho matatizo ndani ya CCM, badala yake wakati
wakisifu mema wawe mstari wa mbele kuyafichua na kuyakemea mapungufu
ili chama kiende na wakati
Katibu
Mtendaji Mkuu wa CCM mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu, Christopher
Ngubiagai akizungumza wakati wa kongamano hilo la Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere.
Mwenyekiti wa CCM tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,, Theodora Malata akizungumza mwanzoni mwa kongamano hilo
Washiriki wakisikiliza kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa kongamano
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba akizingumza kwenye kongamano hilo.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu wa NEC, Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye wakiwa na viongozi wengine meza kuu baada ya kuwasili
ukumbini.
Post a Comment