Salamu zikiendelea baada ya kuwahutubia.
Mbunge
wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chadema, Halima Mdee,
akipeana mikono kusalimiana na wafuasi wa Chadema baada ya kumaliza
kuwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya
Furahisha jijini Mwanza jana.
on Monday, October 20, 2014
Post a Comment