Mhe Spika wa Bunge Anne Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A'Shura
Sheikh Abdullah Al Majaali aliyempokea katika uwanja wa ndege wa Muscat
International Airport.
Mhe Spika akiwa na wenyeji wake pamoja na sehemu ya ujumbe wake. Wa
kwanza kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe Freeman Mbowe na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), Mhe William
Lukuvi. Wa kwanza kushoto ni Mhe Ally Saleh, Balozi wa Tanzania nchini
Oman. Mhe Spika yuko katika ziara rasmi ya kibunge ya siku sita.
Post a Comment