Leo
katika viwanja vya shule ya msingi Kijitonyama Watani wamemenyana
vikali, ambapo Simba kuibuka kidedea kwa Penarty zidi ya Yanga.Shindano
hilo limefanyika ambapo Mshindi wa kwanza kaibuka na zawadi ya Mbuzi na
pesa tasilimu Shilingi 150,000.Mshindi wa pili kaibuka na Mbuzi mdogo
na pesa tasilimu shiling 50,000. Na mwandishi wetu(http://www.nkema.blogspot.com/)
Mchezaji wa Yanga akipiga Penarty
Mchezaji wa Simba akipiga Penarty.
Mashabiki wa Simba wakishangilia Ushindi zidi ya mahasimu wao Yanga.
Simba katika picha ya Pamoja.
Washindi wa Kwanza (Simba) wakipokea zawadi
Washindi wa Pili (Yanga) wakipokea zawadi
Yanga katika picha ya pamoja.
Mechi hiyo ilichezwa Leo ambapo dakika 90 timu zote zilitoka sare ya goli moja kwa moja, Ambapo dakika za mwanzo Montego Frank aliipatia Yanga bao, kipindi cha pili dakika ya 90 Zicco aliipatia Simba bao. Penarty zilipigwa na Kutoka Yanga wapigaji walikuwa Bakari kikuji,Kelvine Gawasa,Ben Kalenga,Kulwa Ndege na Ibrahimu Mwalami. Ambapo penarty za Simba zilipigwa na Rashid Ismail,Rama Mzee,Ally Hassan,Ngwesa na Zicco.

Post a Comment