Mwimbaji kutoka Tanzania Lady Jd ambae pia alikuwa mmiliki wa Nyumbani lounge kupitia akaunti yake ya instagram alipost picha yenye Caption ya maneno inayoashiria kurudi tena kikazi baada ya kimya cha muda mrefu.
Jide alipost posters ya kuanza kwa show zake pamoja na uzinduzi wa MOG bar & restaurant zamani Nyumbani lounge
ingawa maswali
yamekuwa mengi kuhusu maisha ya ndoa ya msanii huyo lakini hakuna kauli
thabiti ya kuthibitisha ukweli wa mambo richa ya kuwepo kwa hoja nyingi
mitaani zinazosababishwa na matukio yanayoendelea hivi sasa katika
maisha ya msanii huyu ikiwemo hili la sasa la kubadili jina kutoka
Nyumbani lounge kwenda Mog bar & restaurant
Post a Comment