Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki Atembelea Eneo La Mbagala Rangi 3 Lilopinduka Lori la Mafuta na Kulipuka na Kusababisha Vifo Vya Watu wa 3 na wengine 16 Kujeruhiwa


  Lori hilo lilivyoteketea kwa moto uliosababishwa na mshumaa.
 Moja ya maduka ya vifaa vya pikipiki lililoteketea

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiangalia tenki la lori hilo.
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema wakimsikiliza miliki wa Nyumba ya kulala wageni United State na bar, Laurent Kasiga  iliyopo Mbagala Rangi tatu, Dar es Salaam ambayo iliteketea kwa moto uliotokana na roli la mafuta lililopinduka na kuwaka moto wakati vijana wakiiba mafuta.
  Mkuu wa Moa akikagua Nyumba hiyo ya kulala wageni iliyokuwa na vyumba 32.
 Wafanyabiashara wa mchele waliokuwa na fremu katika eneo hilo wakiwa katika majonzi baada ya mzigo wao kuungua moto na kuharibika kabisa
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top