Habari
zilizotufikia usiku huu kutoka Mbagala, Wilaya ya Temeke jijini Dar es
Salaam ni juu ya ajali ya lori la mafuta kupinduka Mbagara Rangi 3
majira ya saa tano usiku, na kulipuka, nyumba kadhaa zimeteketea na watu
kadhaa wanaripotiwa kufa wakati wakijaribu kuiba mafuta katika lori
hilo.
Loading...
Home » Unlabelled » VIDEO:LORI LA MAFUTA LAPINDUKA MBAGALA RANGI 3 NA KULIPUA NYUMBA KADHAA NA WATU KADHAA WANARIPOT KUFA WAKATI WAKIJARIBU KUIBA MAFUTA KATIKA LORI HILO
Post a Comment