Gari aina ya Mercedes 350 Cdi inyosemekana inamilikiwa na msanii Diamond.
Hiyo ni Mercedes Ml 350 Cdi ya mwaka 2014 Radio Mbao moja ya mjini
imevumisha kwamba ni kitu kipya cha Diamond Platnumz bado hata namba
hakijabatizwa nazo na ni kipya kabisa kama Waswahili wasemavyo zero
kilomita.
Hivi wote mwajua hakuna siri dunia hii, na kama halipo lajongea, ukweli utajulikana tu…
Post a Comment