Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kituo cha polisi cha wilaya ya Uyui akiwa
katika ziara ya kikazi mkoani Tabora, Oktoba 11, 2014. Kushoto ni Mkuu
wa Mkoa wa Tabora, Mhe Fatuma Mwasa na Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui,
Mhe. Lucy Mayenga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora,
ACP Suzan Kaganda (kulia) baada ya kufungua kituo cha polisi cha wilaya
ya Uyui akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tabora, Oktoba 11,
2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora,
ACP Suzan Kaganda (kulia) baada ya kufungua kituo cha polisi cha wilaya
ya Uyui akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tabora, Oktoba 11, 2014.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
on Monday, October 13, 2014
Post a Comment