Wananchi
waliokuwepo eneo la Ubungo leo mchana wamemshambulia askari wa usalama
barabarani kwa kile walichodai kuwa amesababisha ajali. Watu hao
walianza kumshambulia askari huyo huku wakimtwanga mangumi na kumchania
sare yake ya kazi kama anavyoonekana pichani.
on Wednesday, October 15, 2014
Post a Comment