Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri
kuu ya CCM(NEC) kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini
Dodoma.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula
wakati wa ufunguzi wa kikao cha NEC mjini Dodoma leo.(picha na Freddy
Maro).
Baadhi ya wajumbe wa NEC wakiwa katika kikao hicho
on Friday, October 17, 2014
Post a Comment