Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu akionesha cheti mara baada ya kuhitimu masomo. Mrembo, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu akipozi. Mlimbwende, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu. Mrembo, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu akifurahia jambo na marafiki zake wa mamtoni. Sitti Abbas Zuberi Mtemvu akiwa na baba yake, Mhe. Abbas Zuberi Mtemvu. Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu wakati wa kutwaa taji.Picha Kwa Hisani ya GPL
Post a Comment