Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius K. Nyerere ulioko jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza
ziara yake ya kikazi nchini China na Vietnam.
Mwamunyange (kushoto)
leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere
pamoja na baadhi ya viongozi wengine mara baada ya kumaliza ziara yake
ya kikazi nchini China na Vietnam.(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA,
MAELEZO-DSM).
Post a Comment