TRENI
la mizigo limepata ajali eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam muda
mfupi uliopita na kuangusha mabehewa yaliyokuwa na makontena ya Azam na
Mohamed Enterprises.
Makontena yaliyokuwa yamebebwa na treni hilo la mizigo.
Kikosi
cha Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) tayari kimefika eneo la tukio
kuimarisha ulinzi wa mali zilizokuwemo katika mabehewa hayo.
Picha kwa hisani ya Jamii Forum
Post a Comment