Ilikua ni
zamu ya Kigoma ( 89.3 CloudsFM) kusambaziwa upendo wa tamasha la Fiesta
ambalo mwaka huu wa 2014 limefanyika kwenye miji 18 ambapo Kigoma na
Mtwara ndio imekua miji ya mwisho kulishuhudia likiongozwa na Linah,
Madee, T.I.D, Stamina, Rachel, Ali Kiba, Linex, Baba Levo, Mr. Blue,
Chege na Makomando.
Loading...
Post a Comment