Baada ya
kutokuwa na maelewano mazuri kati ya nuhu mziwanda na mpeni wake shilole
hivi sasa tetesi zimeibuka upya kwamba wawili hao hawako pamoja tena ,
hii imefatia kuzagaa kwa picha ambayo shilole amepiga akiwa na njemba
mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja,
on Tuesday, October 7, 2014
Post a Comment