Picha Juu ni Nakala ya Makubaliano iliyotiwa saini leo
Viongozi wa juu wa vyama vinne vya siasa nchini Tanzania vimeingia makubaliano ya ushirikiano wa shughuli mbalimbali za siasa hii leo na miongoni mwa mambo hayo ni kusimamisha wagombea wa pamoja katika uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Uchaguzi Mkuu wa wabunge, madiwani, wawakilishi na Rais 2015. Kutoka kushoto ni James Mbatia wa NCCR-MAGEUZI, Prof Ibrahim Lpumba wa chama cha Wananchi CUF, Freeman Mbowe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Dk. Emmanuel makaidi wa NLD wakionesha hati yao ya makubaliano waliyoisaini jana katika viwanja vya Jangwani Dar es Salaam leo.
Viongozi hao wakishangilia kuzaliwa kwa ushirikiano huo huku makatibu wao wakiwa wameketi.
Post a Comment