Ajali
iliyotokea jana mchana huko maeneo ya Tegeta Kibaoni, ambapo mashuhuda
wa ajali hiyo wamesema kuwa Contena hilo lilikuwa likishuka kutokea eneo
la wazo na kuferi breki ambapo lilikata kona ya kuelekea Boko lakini
likashindwa na kuivaa Hice hiyo iliyokuwa na abiria katika eneo hilo na
kuilalia. Aidha imeelezwa kuwa katika ajali hiyo watu wote waliokuwa
ndani ya Hice hakuna aliyetoka, ambapo haijaweza kufahamika idadi ya
watu hao waliokuwamo ndani ya Hice hiyo.
Loading...
Post a Comment