Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dkt. Eng. Binilith Satano
Mahenge (wa kwanza kushoto,) akiwa pamoja na Mkurugenzi Msaidizi Ofisi
ya Makamu wa Rais Magdalena Mtenga,(mwenye nguo nyekundu) na Dr. Robert
Ntakamalenga, Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji-NEMC katika
ziara ya kukagua viwanda jijini Dar Es Salaama leo.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dkt. Eng. Binilith Satano
Mahenge, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Bin Fijaa
Industry Bwana Ahmed Abdallah, jinsi wanavyo tumia mashine na maligafi
mbalimbali katika kuzalisha mifuko. Kiwanda hiko kipo barabara ya Nyerer
jijini Dar Es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dkt. Eng. Binilith Satano
Mahenge, akikagua mifuko inayozalishwa na kiwanda cha Tanplast Ltd
anayemuonyesha Waziri mifuko hiyo ni Bwana Kaushal Josh ambaye ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dkt. Eng. Binilith Satano,
akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kuhitimisha ziara yake ya
kukagua viwanda mbalimbali vya jijini Dar Es Salaam.
Post a Comment