Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BAADA YA BUNGE KUCHOMWA MOTO ... RAIS WA BURKINA FASO AJIUZULU


Rais Blaise Compaore aliyejiuzulu.
RAIS wa Burkina Faso, Blaise Compaore ametangaza kujiuzulu kufuatia vurugu za kisiasa zinazoendelea nchini humo.
Jenerali Honore Traore.
Katika vurugu hizo, jana waandamanji walilichoma bunge la nchi hiyo wakipinga Rais Blaise Compaore, aliyeiongoza nchi hiyo kwa miaka 27, kutaka katiba ifanyiwe mabadiliko ili aweze kugombea tena nafasi hiyo mwaka kesho.
Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo, Jenerali Honore Traore ndiye amechukua nafasi hiyo kwa muda.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top