
Basi
la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa
limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami
mkoani Pwani,dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine
kujeruhiwa.tutaendelea kupeana taarifa zaidi hapo baadae.
Baadhi
ya wasamaria wema wakijaribu kumchomoa Dereva wa Lori hilo aliyekuwa
amebanwa vibaya,pichani ambalo namba zake za usajili hazikufahamika mara
moja.
Post a Comment