Mara Baada ya Ibada katika Kanisa la Azania Front wakati wa kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Mzee Philemon Mgaya
Baadhi ya waumini mbalimbali wakiwa nje baada ya Ibada
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Mstaafu Philemoni Mgaya akiwa katika siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Keki
Waziri Mkuu
Mstaafu Mhe Cleopa David Msuya akimpongeza aliyekuwa IGP Philemoni Mgaya
Mzee Timothy Msangi akieleza Historia fupi ya IGP Mstaafu Mzee Philemon Mgaya
Askofu Mkuu
wa Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Alex Malasusa akitoa salam za Pongezi kwa IGP mstaafu
Mshauri
wa kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited
James Rugemalira akitoa pongezi zake kwa IGP Mstaafu na kuelezea Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni Mabibo Beer and Wines Mama Benedicta Rugemalira akitoa salam za Pongezi kwa IGP mstaafu
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa akimpongeza Mzee Mgaya
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimpa mkono wa Pongezi IGP mstaafu
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa na Mzee Mgaya wakiwa katika Furaha
Mzee Mgaya akipongezwa na Mzee James Rugemalira
Haya wajukuu na tule keki sasa....
Balozi Juma Mwapachu na Mwenyekiti Mstaafu wa Gymkhana Club Mzee George Kritsos wakipozi na Mzee Mgaya
Mzee Mgaya akipozi na baadhi ya watu mashuhuri waliohudhuria sherehe hizo
Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa David Msuya akiwa na mabinti wa Mzee Msangi
Watu mbalimbali wakiwa katika Sherehe hiyo
Burudani ya nguvu
Post a Comment