Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JEBBY AMERUDI NA WIMBO MPYA



Msanii wa siku nyingi wa kundi la TMK UNIT jebby anatatajia kuachia wimbo wake mpya kuanzia tarehe 25 mwenzi huu au tareha 5 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.

akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.com amesema kuwa alikuwa amekaa kimya mda mrefu bila kuaachia wimbo wowote kutokana na changomoto za kimziki na maisha nje muziki.

hata hivyo jebby aliuambia mtandao huu kuwa wimbo wake ameufanya katika studio mazuu record na producer wa wimbo huu ni mazuu na kuomba watanzania kumpokea tena kama ambayo walikuwa wakimpokea hapo awari.

 edited by fredy mgunda
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top