Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchocholo wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitambuhi
Baadhi ya
wanachi wakijaribu kumuongalia bint huyo akiwa ana fahamu huku akiwa
katika kichocholo huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasifamika
mjini kahama.
Askari
polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu kumtabua
msichana huyo na bila mafanikio na kuomba msanda katika kituo cha
polisi
Post a Comment