![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uByeO8LNG1GNeKU-K45PmLnC2-99y_IsLErT7TjSaaJnB-nelZPhlyr1WLfqIPVxLVAJun-_KpH5IF5aUJO1ursmJbJHX67YXwI334Qswtq-aT0hl7_xVYwufOA8UtGhgucaH7Ps2FhF3ANJsJgeUTCe_UFdBOOC3uCVOvGVlvvZl84gNYrKYPCfsjB8coiqI0Os3WXznbwcuWjyahaIDQ_7ojamY=s0-d)
Mbunge
wa jimbo la Mbinga Magharibi John Komba akipimwa urefu kwenye viwanja
vya Bunge na jopo la madaktari kutoka hospitali ya Aga Khan. Zaidi ya
wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya
pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo
liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh. Seif Rashid.
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sM2fiPDr6_G2RDCZ0YOT5Y2C1s_xFKc4xuxs3d_-Tnblwc-yAiKYBtWWtWWmF-oKZ08eucqFVhuLvCQMukDq6nnzgDvt8NfUcLetOjvnS4zt7x4agairsXSFI_8CKuRmCG9j0iZEb6jrzB1DudgNfYkhEY7wc-ZSpvC8znnJlDgfGeRLL0deMTse8ECn0_HrdsfhslEyvwhfWb7nhn2jnwQkJOEtR0=s0-d)
Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mh. Margaret Sitta
akichukuliwa damu kwa ajili ya vipimo na mshauri wa afya kutoka
hospitali ya Aga Khan kwenye jengo la Bunge. Zaidi ya wabunge 200 pamoja
na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao
bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya
na Ustawi wa Jamii Mh.Seif Rashid.
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tSlYIeSoMYMasg7gmmo1I4DR4fFV2cWTqMxF3-clkCBUGiZaiEGjO1yTKXsn-sl0LqX2fTqFjam2Xveij4dOabke4q6AWwkfRf0Dy-Rtu4M8ud2Dj-eWLbyhIXSNpC_yQNMaHGxlGtQxWRnMR-v4CVbHS1SYZo25ldmtVRBGPQQaT4l9cxhEkCLwkY9-RqasXLGTHwSHKR91QoI1qBe-9mGGfY5j8Y=s0-d)
Waziri
wa Ofisi ya Rais, Prof. Mark Mwandosya akijiandaa kupimwa urefu na
mshauri wa afya kutoka hospitali ya Aga Khan kwenye jengo la Bunge.
Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya
afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo
liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh.Seif Rashid.
on Tuesday, November 25, 2014
Post a Comment