Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili
na Mazingira hii leo imekamilisha ziara yake kwa kukagua mgodi wa Buzwagi na
kuridhishwa na utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Baraza la Taifa la
Hifadhi na usimimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa mgodi huo.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu akifafanua jambo mbele ya
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira. Wa kwanza kulia ni Mh. James
Lembeli Mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Ummy Mwalimu (katikati) akiambatana wajumbe
wa Kamati katika ziara ya kukagua bwawa la kuhifadhia maji katika mgodi wa
Buzwagi.
Pichani
ni ujenzi wa awamu ya pili wa Kituo cha Afya cha Mwendakulima kinachojengwa na
Mgodi wa Buzwagi kwa ajili ya kuwasogezea wananchi huduma bora za afya.
Baadhi
nyumba zitakazotumiwa na waganga na wauguzi wa kituo cha afya cha Mwendakulima
pindi kituo hicho kitakapoanza kutumika.
Post a Comment