Maharusi wawili walifanya harusi yao katika bwawa lenye lita milioni 1.5 za maji ya bahari .
Bi Dorota Bankowska mpiga mbizi mzoefu aliolewa na mpenzi wake ambaye
ni mwalimu James Abbot nyumbani kwao mjini Plock , Poland mwezi jana
lakini akataka sana kufanya jambo la kipekee wanakoishi kama ishara ya
kusherehekea harusi yao.
Post a Comment