
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa
Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata, wakati alipofika nyumbani kwa Balozi wa
Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, jijini Dar es Salaam,jana Novemba
3, 2014.

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Zambia nchini Tanzania,
Judith Kapijimpanga, baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa
Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata, nyumbani kwa, Balozi huyo jijini Dar es
Salaam,Jana Novemba 3, 2014.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Post a Comment