Katika kile kinachoonekana kama ni kujiwekea kumbukumbu ya nguvu
kutokana na madaraka yake ya unahodha aliyoyatumikia kwa miaka kadhaa
sasa, nahodha wa klabu ya Chelsea Muingereza John Terry ametuma picha
kwenye mtanadao wa Instagram kuonesha beji zake zote za unahodha
alizowahi kuzivaa kwenye michezo mbalimbali kwa vilabu mbali mbali na
timu yake ya Taifa.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
Duniani Leo1 hour ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment