Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa “Forever”.
Wimbo
umetayarishwa na producer Man Water wa Combination Sounds, na video ya
wimbo huo ambayo itatoka wiki hii imefanywa na muongozaji mkongwe Adam
Juma wa Next Level.
on Tuesday, November 25, 2014
Post a Comment