MAHAKAMA
Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Katibu wa
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda iliyopelekwa
na wakili wake Juma Nassoro ya kupinga hatia ya adhabu aliyohukumiwa
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akidai kuwa hapakuwa na ushahidi
wa kutosha wa kumtia hatiani kwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili.
Kesi nyingine inayomkabili kiongozi huyo katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu ambayo inasikilizwa na Jaji Augustine Shangwa imeahirishwa
hadi Novemba 20, mwaka huu.
on Tuesday, November 4, 2014
Post a Comment