Staa wa
kiume wa sinema za Kibongo, Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’, kwa mara nyingine
alilazwa katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar baada ya
kudaiwa kula chakula kinachosadikika kuwa na sumu (poisonous food).
Staa huyo alisema kuwa baada ya hatua chache kutoka ukumbini, tumbo lilianza kumuuma kisha akaishiwa nguvu ndipo akaweka gari pembeni na kupiga simu kwa ndugu kuomba msaada.Dk Cheni aliendelea kueleza kuwa baada ya kupata msaada moja kwa moja alipelekwa kwenye Hospitali ya Burhani jijini Dar
Post a Comment