Ni
kama wiki moja sasa tangu kuenea kwa habari ya kua Diamond Platnumz
atapewa shahada ya Udaktari katika chuo kikuu cha Mlimani. Baada ya
taarifa hizo kuenea sana tumebahatika kupata mahojiano ya maprofesa
wawili kutoka chuo cha Mlimani wakizungumzia ishu hii.
Wote wawili wamekubali kua Diamond ni msanii mkubwa lakini
Post a Comment