
1:-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja
wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya siku
ya Ukimwi Duniani iliyofanyika leo Desemba 1, 2014 Kitaifa kwenye Uwanja
wa Sabasaba Mkoani Njombe.


Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe leo,
Desemba 2014.

7B:-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi wakati akiondoka katika uwanja wa
Sabasaba baada ya kuhutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya
Ukimwi Duniani zilizofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa huo Mkoani Njombe.
Post a Comment