Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MTI MKUBWA WAANGUKIA MAGARI ENEO LA SEAVIEW

 

 Sehemu ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea View,Upanga jijini Dar es Salaam.baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa chanzo cha kuanguka mti huo ni ukongwe wa mti huo.
 Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na Mti huo mchana huu.
 Muonekano wa Mti huo.
 Mti huo ukiwa umeangukia ukuta.
 Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijadiliana mara baada ya magari yao kuangukiwa na mti huo.
 hapo kwenye hiyo viti kuna watu walikuwa wamekaa lakini walinusurika.
Hawa ndio waliokuwa wamekaa kwenye hivyo viti.Credit MICHUZI BLOG
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top