Baadhi ya watu waliohudhuria katika Uzinduzi wa Uborereshaji wa
Daftari kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika
uzinduzi huo Februari 24, 2015

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika uzinduzi huo Februari 24, 2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Uborereshaji wa Daftari kla
Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24,
2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian
Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA Mhe John
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekititi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva (kushpoto) , Naibu Katibu Mkuu na
Katibu Mwenezi wa CHADEMA, John Mnyika (kulia), Yusufu Mbungiro ambaye
ni Afisa Uchaguzi na Mafunzo taifa wa Chama cha CUF (wapili kushoto) na
Allan Bujo ambaye ni Mkuu wa Ulinzi wa CHADEMA baada ya kuzinua
Uborereshaji wa Daftari
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kazi ya uandiskishaji wapiga
kura baada ya ya kuzinua Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la
Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu ambaye pia ni Katibu
Mwenezi wa CHADEMA Mhe John Mnyika wakitazama kadi mpya ya mpigakura
baada ya Waziri Mkuu, Kuzindua uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga
kura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisisitiza jambo katika uzinduzi huo Februari 24, 2015
Baadhi ya watalaamu wa kuandikisha wapiga wakiwa na zana za kazi
kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ya kuzinua Uborereshaji wa Daftari
kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako
Picha na maelezo: Rukwa Review Blog
Post a Comment