Ule usemi wa wagombanao ndio wapatanao,Umejidhirisha Leo kwa Miss Tanzania2006 namba2,Jokate Mwogelo na Miss Tanzania 2006,wema sepetu. Ilikuwa huko Instagram ambapo Wema sepetu alianika boonge la zawadi alilopewa na Jokate mwogelo na ambao linadhihirisha kabisa kuwa hawa watu
hawana Ugomvi baada ya diamond kuwabwaga na kuwa na mademu wengine akiwemo kipenzi chake kipya zari,Na zawadi yenywe ni hii hapa kwnye picha!Embu iangalie ndugu yangu.
Post a Comment