Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Breaking News: CHADEMA Washinda Kesi Iliyokuwa Imefunguliwa na Zitto Kabwe Kupinga Kamati Kuu Kumjadili.......Aamuriwa Kulipa Gharama Zote za Kesi



Chama  cha  Demokrasia  na  Maendeleo (CHADEMA)  kimeshinda kesi dhidi ya aliyekuwa mwanachama wake Zitto Kabwe.

Katika  hukumu  hiyo  iliyotolewa  leo  na  Jaji  Mziray,Mahakama imewaruhusu  CHADEMA kuendelea na taratibu zake  za  Awali. Aidha, Mahakama imeamuru Zitto Kabwe alipe gharama zote za kesi.

Ikumbukwe  kuwa, mwaka jana Zitto Kabwe aliweka pingamizi mahakamani kuzuia kikao cha Kamati Kuu ya  chama  hicho  kumjadili  mpaka  pale  shauri  lake  litakaposikilizwa  na  Baraza  Kuu  la  Chama  hicho
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top