Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.
Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo
inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa
kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni
yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa
sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema – Diamond Platnumz.
Unahisi Diamond na Zari watahudhuria kwenye harusi
hii? Tupe maoni yako
NB:
Wema ni ex wa Diamond.
Mume mtarajiwa wa Wema ni Ex wa Zari ambaye ni mpenzi wa sasa wa Diamond
NB:
Wema ni ex wa Diamond.
Mume mtarajiwa wa Wema ni Ex wa Zari ambaye ni mpenzi wa sasa wa Diamond
Post a Comment