Hatimaye Wema Sepetu kaamua kufunguka kuhusu Ugomvi Wake na Kajala. Yaani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho.
Amedai Kajala ni miongoni mwa marafiki wabaya
aliowahi kuwa nao na kasema anajuta sana kumsaidia Kajala,ile kumlipia
kumtoa jela anasema anaregret vibaya sana.
Msikilize mwenyewe akiongea
Post a Comment