Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ameongozana na Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Taifa,Nape Nnauye sambamba viongozi mbalimbali wa
chama mkoani Dodoma jana wamemaliza ziara ya Kikazi katika jimbo la
Mpwapwa na Kibakwe mkoani Dodoma,ambapo leo wanaanza ziara katika jimbo
la Kongwa.Kinana anaendelea na ziara yake ya siku tisa mkoani
humo,akikagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya
mwaka 2010 ikiwemo sambamba na kuimarisha uhai wa chama,kusikiliza
matatizo ya Wananchi na kuyatafutia ufumbuzi.
Loading...
Home » Unlabelled » KATIBU MKUU WA CCM KINANA AMALIZA ZIARA JIMBO LA MPWAPWA NA KIBAKWE,LEO KUWASILI JIMBO LA KONGWA.
Post a Comment