Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred
Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red
Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto)
akisikiliza.
Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al
maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa
chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015.
Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana
hao.
Post a Comment