Inasemekana alipita maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo
kifupi ambacho kilivuta hisia za wanaume wakware na kuanza kumzonga zonga
wakitaka kumvua kabisa kimini hicho huku wengine wakimchoma vidole sehemu zake
za siri.
Kwa bahati nzuri alitokea jamaa mmoja mwenye gari
ambaye alimchukua huyu dada na kumficha ndani ya gari
yake.....
Baada ya Wananchi wenye hasira kali kutishia kupasua vioo vya gari, jamaa aliamua kutafuta boda boda ambaye alimpakiza na kutimuka nae kwa kasi huku wananchi wakifukuzia kwa nyuma.
Baada ya jamaa kuona wananchi wanataka kupasua vioo vya gari aliamu kumtosa huyu dada na kumtafutia pikipiki

Post a Comment