Wiki chache zilizopita tuliweka story kuhusu msanii Snura kujifungua na akakana kua hajajifungua na tukaweka story kuhusu mwonekano wake mpya baada ya kufungua japo alikana kua hakua amezaa mtoto.
Sasa mpya ya leo ni story ya Snura kukubali kua ni kweli alizaa na baba wa mtoto huyo ni Dj wa Maisha Club Dj Hunter. Kitu cha kwanza Snura kufunguka ni sababu iliyomfanya yeye kuficha taarifa hizo za ujauzito na snura alisema kua sababu ya yeye kuficha kuwa ana mimba na kuficha kuwa ana mtoto sio sababu ya kuogopa walimwengu bali sababu za kikazi alijua mapromota ukisema una ujauzito hawakupi kazi,yeye ndio baba na mama wa watoto wake so aliangalia zaidi maslahi na alipiga mzigo mpk mimba ina miezi 5,alipoona sasa hawez tena walipanga na meneja wake waseme kaenda south kufanya video kumbe alikuwa chumbani kwake.
Unaweza Soma : Ali Kiba acopy beat ya Matonya na kuitumia kwenye wimbo wake mpya wa Chekecha cheketua, ushahidi huu hapa.
Snura alijifungulia hospitali ya Palestina Dar na wakati anaenda alivaa baibui kininja na aliwaomba manesi ajifungue chumba cha pekeyake. Snura kwa sasa yupo fit kupiga mzigo na ndio maana kayaweka wazi ana mtoto wa kiume anaitwa Taltham... Unaweza tazama picha za mtoto wake huyo hapa chini
Snura akiwa na mwanae |
Meneja wa Snura "HK" akiwa na mtoto wa Snura. |
Snura akiwa na mwanae |
Tundaman akiwa na mtoto wa Snura |
Mtoto wa Snura |
Post a Comment