Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Ommy Dimpoz Amwaga Machozi Jukwaani


 

Weekend iliyopita Escape One kulifanyika show iliyowakutanisha mastar wakubwa ndani na nje ya TZ kama Christian Bella, Ruby, Ali Kiba, Kassim Mganga, Ommy Dimpoz, Msami, na Alicious kutoka Kenya, Wote kwenye stage moja.
 
Moja ya hits ambazo zimependwa SANA ni ‘Nani Kama Mama‘- collabo ya Ommy Dimpoz na Christian Bella.
 
Soudy Brown alikuwa mmoja ya watu waliokuwa kwenye show hiyo Escape 1, akamuona Ommy akitokwa machozi wakati wanaimba wimbo huo kwenye stage.. Ommy akashindwa kuendelea akashuka, Soudy akamfuata kujua tatizo ni nini?
 
Dimpoz  amesema aliandika wimbo huo kwa sababu ya kumbukumbu ya kifo cha mama yake aliyefariki miaka 15 iliyopita, alimuacha akiwa mdogo sana.. wakati anaimba wimbo huo alikumbuka mapenzi ya mama akatamani kama mama yake angekuwepo.. ni hicho tu kilichomtoa machozi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top